Sign In
Not register? Register Now!
Essay Available:
Pages:
1 page/≈275 words
Sources:
No Sources
Level:
APA
Subject:
Literature & Language
Type:
Other (Not Listed)
Language:
English (U.S.)
Document:
MS Word
Date:
Total cost:
$ 3
Topic:

Shairi Verse Performed By Students During Music Festivals (Other (Not Listed) Sample)

Instructions:

It's a shairi verse performed By students during music festivals

source..
Content:
Walinzi 1: Hizi kazi za ulinzi, tumekuwa maabusu
hatupati hata penzi, tunaishi kwa mateso
tumefanyika washenzi, tunapigwa hata nyuso
wakubwa hawatuenzi, mefanyika maabusu
Walinzi 2: Chapa kazi kwa bidii, mziwache na tetesi
wakubwa tuwatii, ama mkose misosi
Walinzi 1: Mishahara yetu duni, wanapora mabilioni
tunalinda makampuni, kinyanyaswa na wahuni
Walinzi 2: Vumilia mbivu mule, ufanisi mtapata
Walinzi 1: Tumengoja tangu kale, kujikimu tujapata
Walinzi 2: Rafiki muwe wapole, kwa pupa hamtapata
Walinzi 1: Hizo zenu ni kelele na si ngoma za sakata
Mabosi: Hino ndege taabiri, na angani tutapaa
mambo yenu kawa shwari, starehe tutakaa
hata washikwe na mori, hawa tutawaadaa
kago ino ina heri, sianze zua balaa
Walinzi 1&2: Mifuko tutapekua, mizi tutakagua
moja, moja tutapekua, sianze hizo sumbua
Mabosi: Warembo wacheni wasi, tawatoa mitegoni
tawepusha na mikosi, kitu kidogo mfukoni
situwekee kisasi, kichwa peleka saluni
kago ino ina heri, sianze zua balaa
Walinzi 2: Huu ni wakati wa wera, na sii wa remborembo
na hata tukiparara, hatuchezi zenu nyimbo
tumepewa makadara, situone kuwa chambo
kago tutaisorora, mpende na msipende ( walinzi 1)
Mabosi: Tulizeni yenu boli, tupate kuelewana
kitazama kule mbali, muone ni pema sana
wacha kulalia mali, mifuko takuwa pana
kago ino ina heri, sianze zua balaa
Walinzi 1: Mambo yenu yapendeza,metilia maanani
Ngoma yenu taicheza, piga teke maskini
Macho yetu meangaza, tutakula burudani
Kago hino ina heri, wakubwa hapo vipi?
Mabosi : Rafiki wa kufaana, matamu tutagawana
Wachana na vibweshuna, ninyi ni watu wangwana
Kago hino ina heri, haina vitu vichafu
Walinzi 2: Situone vidagaa, bado tunachachamaa
Ni vinyonga wasofaa, kazi yenu mwakataa
Mkome unyanyapaa, hapa tazua balaa
<...
Get the Whole Paper!
Not exactly what you need?
Do you need a custom essay? Order right now:

Other Topics:

 • Prepare and Analysis Financial Statement
  Description: Obtain the financial statements for the past four fiscal years for the company you selected. This may require using older annual reports that are available on the company’s website....
  1 page/≈275 words| APA | Literature & Language | Other (Not Listed) |
 • English Phonetic And Phonology Research Assignment
  Description: This being a globalized world, English is being used by many people to serve various purposes especially when it comes to communication. There are also many non-native speakers who are using the English language as a main means of communication....
  2 pages/≈550 words| 2 Sources | APA | Literature & Language | Other (Not Listed) |
 • The Influence Of Violent TV Cartoons Watched By School Children
  Description: What are some of the aggressive behaviors that children have developed as a result of watching aggressive cartoons?...
  9 pages/≈2475 words| 10 Sources | APA | Literature & Language | Other (Not Listed) |
Need a Custom Essay Written?
First time 15% Discount!